yemen quran

IQNA

IQNA – Mashindano ya Qur'ani ya kila mwaka ya “Al-Rasoul Al-Aazam” (Mtume Mtukufu SAW) yamefunguliwa katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a, siku ya Jumapili kwa mnasaba wa Milad un Nabii.
Habari ID: 3482640   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/17